With quick turnaround occasions, very affordable prices here and unmatched high-quality, we have grown to be the dependable name in signage.
Na kama ukiangalia mabango yetu hapa nchini, tuna matumaini ndoto yetu inatimizwa mbele ya macho yenu wenyewe, na tuna hamu ya kuendeleza mabango yenye mvuto wa ubora kama sehemu ya mfumo wa maisha yetu. Tunajisikia fahari kusema kwamba tumebuni mwenendo mpya katika utamaduni wa makampuni.
Hatuna washindani kwa kuwa tunawachukulia watengenezaji wengine wa mabango kama ni wenzetu katika kugawana soko moja na tunaona fahari kusema kwamba tunatoa msaada wa vifaa na ushauri pale tunapoombwa kufanya hivyo. Lakini kwa hakika ,uzoefu wetu wa muda mrefu na upana wetu na kujiweka kwenye mazingira ya kimataifa na uwezo wa namna nyingi imetupa makali dhidi ya wengine mara nyingi tunaonekana tumewazidi wengine na kuonewa wivu na wengi.
It seems like you were misusing this aspect by going much too rapidly. You’ve been briefly blocked from making use of it.
Kuingia kwetu sokoni kuliondoa mitazamo iliyozoeleka katika hatua za utengenezaji ambapo hatua hizo zikafanywa na teknolojia kwa utengenezawaji wa msaada wa kompyuta, (Pc Aided Signs) wakati tulikuwa tumepatwa na msisimko na kujivunia mafanikio yetu, ukweli wa kuhuzunisha tulikuja kutambua kwamba teknolojia imeanza kuchukua nafasi ya wasanii wenye vipaji na mafundi ambao wameridhishwa na kurithi vipaji vikubwa kutoka kwa mabibi na mababu, na hao wasanii na mafundi walikuwa wanakuwa hatarini kuwekwa kando.
make sure you don't wait to request to get a quote toward your impending assignments; we guarantee you An impressive result.
... tunafanya... □● graphics design □● digital printing □● Business office branding □● signages / mabango □●interior kwa mwonekano wa kisasa zaidi kwa kutumia
Infos Mabango na Kupiga Chapa Bidhaa (branding) ni eneo pana ambamo karibia kila kazi ni tofauti na nyenzake kwa vile kazi inafanyika kulingana na matakwa ya mteja kwa muundo, mwonekano, vifaa, aina ya matumizi na rangi, kwa hiyo hatutegemei kila mmoja kuwa bingwa katika eneo hili kujua mahitaji kamili ya wateja.
considering that 2009, in the event the notion of SE was born, We have now carried out our market study and constructed a team of energetic, display extra able and remarkably knowledgeable men and women Prepared to answer for Dar-Es-Salaam’s will need for a specialist and top rated quality service company within the producing marketplace.
Kwa hiyo ni sawa na ni kawaida kutojua unachokitaka. Kwa hiyo, kama huna hakika ya unachokitaka au kwa namna yoyote ile kukanganyikiwa kuhusu kazi au lugha inayotumika, basi hapa umekuja mahali sahihi. Kazi yetu, kwa hiyo, ni kuondoa huo mkanganyiko na tutafanya iwe rahisi kwako kuona kwa sababu sisi ni mabingwa katika eneo hili na magwiji wa lugha ya mawasiliano kwa macho.
From fundamental A-Frame signs to rolling out a multi-Tale banner, our proficient workers of strategists, challenge professionals and graphic artists will information you through the method to comprehend your eyesight.
___________________________________________ .
it really is with fantastic satisfaction which i would like to introduce for you SIGN EXPRESS, wherever we think forward stay in advance.
Kwa hiyo Karibuni sana na uzungumze nasi katika kufanya uchaguzi wako kwa kufuata hatua rahisi hapa chini:
Tunaona fahari kusema kwamba tulikuwa waanzilishi kuhusisha teknolojia ya kompyuta katika taratibu zetu na utengenezaji wa bidhaa na mpaka sasa tunaendelea kujiboresha kuendana na teknolojia za kisasa zinazopatikana.
Our highly qualified Centre metropolis designers produce signage using the finest technology, elements and procedures that you can buy to make sure your concept is Plainly communicated towards your audience.
1 Tunahitaji mabango/ kupiga chapa bidhaa, lakini hatuelewi sana na hatuna hakika aina gani, hatuna hakika nini cha kuagiza tafadhali niongoze
Kwenye miaka ya mwanzoni ya kuanza kwetu, tuliweza kuleta mabango ya NEON ambayo yalikuwa kitu kipya nchini. NEON ilikuwa changamoto na vilevile ilikuwa fursa na kwa miongo miwili tulikuwa kampuni pekee nchini kutengeneza mabango na alama za NEON. Kwa masikitiko makubwa,mwishoni mwa mwaka 2010 ilitubidi kuacha kutenegeza NEON kwa kuwa ilianza kubadilishwa na mfumo wa mwanga wa LED na hapo tulikuwa watu wa kwanza kuingia kwenye teknolojia hii mpya.